Fujo katika kaunti za Murang'a,Taita Taveta na Kericho: Mirindimo
19th January, 2018
Katika Mirindimo hii leo tunaangazia fujo katika katika kaunti za Murang’a, Taita Taveta na Kericho. Si hayo aliyekuwa naibu gavana wa Nairobi Polycarp Igathe alijiuzulu. Paul Nabiswa na maelezo zaidi