×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya Green Commandoes waingia ligi ya NSL

17th January, 2018

Baada ya kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya shule ya upili kujikatia tiketi ya kushiriki ligi ya daraja la pili nchini. Timu ya soka ya shule ya upili ya Kakamega almaarufu Green Commandoes wanapania kuzidi kushamiri na kupaa hata zaidi. Moses Wakhisi anatupa taarifa hiyo kwa kina

.
RELATED VIDEOS