.
16th January, 2018
Visa vya mikasa ya moto vimekumba sehemu kadhaa za nchini kuanzia kaunti ya samburu, nyeri, nairobi na hata busia. Mikasa hii yote ikisababisha hasara inayokadiriwa kuwa ya mamilioni ya fedha. Mark namaswa na taarifa.