×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikosi cha Polisi al maarufu ''Chafua Chafua'' kimepokonywa taji la kitaifa la ligi ya ndondi

15th January, 2018

Kikosi cha Polisi al maarufu ''Chafua Chafua'' kimepokonywa taji la kitaifa la ligi ya ndondi nchini na badala yake kukabidhiwa tmu ya kdf. Hatua hii inafuatia uchunguzi uliofanywa baada ya madai ya uamuzi duni katika raundi ya mwisho ambayo ilifanyika katika uwanja wa mbuzi mwezi novemba mwaka jana ambapo timu ya polisi ilitawazwa mabingwa baada ya kuzoa alama 103. Hata hivyo, chama cha ndondi nchini kikiongozwa na mwenyekiti john kameta kimethibitisha kuwa ushindi huo haukuwa wa halali ndiposa wakaamua kuwakabidhi kdf taji hilo.

.
RELATED VIDEOS