×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mike Okoth aalikwa kuhudhuria Tuzo za SOYA

15th January, 2018

Mshambulizi wa zamani wa Harambee Stars Mike Okoth atakuwa mgeni maalum katika makala ya mwaka 2017 ya tuzo za mwanaspoti bora, SOYA ambazo zitafanyika jumanne jijini Nairobi. Mike Okoth ni mshambuliza wa zamani wa timu ya shabana iliyocheza katika ligi kuu ya kenya na timu ya kenya breweries ambayo kwa sasa inajulikana kama tusker fc. Alichezea harambee stars na kuwakilisha kenya kwenye dimba la afrika katika makala ya 1990, 1992 na 2004. Alichezea timu ya racing genk ya ubelgiji na kushinda ligi mara mbili. Wakati uo huo bingwa wa dunia wa zamani, douglas wakiihuri amepongeza waandalizi wa tuzo za soya kwa kuwatuza wanamichezo bora ili kuwapa motisha.

.
RELATED VIDEOS