×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbiu ya Ktn full bulletin 2018/01/14-Maafa Barabarani

14th January, 2018

                Watu wanne wamefariki baada ya basi walimokuwa

                Wakisafiria kugongana na lori katika barabara ya garissa –

                Wajir. Watu wengine kadhaa walijeruhiwa kwenye

                Ajali hiyo iliyotokea mwendo wa saa saba usiku wa kuamkia

                Leo. Baadhi ya waliopata majeraha mabaya walisafirishwa

                hadi katika hospitali hapa Nairobi huku wengine wakitibiwa

                katika hospitali ya eneo la Garissa. Haikubainika mara moja

                ni kwa nini basi hilo lilikuwa likisafirisha abiria nyakati za

                usiku. Serikali kwa sasa imepiga marufuku usafiri wa usiku

                kwa

.
RELATED VIDEOS