12th January, 2018
Bingwa wa dunia wa mbio za mita elfu tano Hellen Obiri na Hillary Kering ndio mabingwa wa makala ya mwaka huu ya mbio za nyika za wanajeshi. Obiri amedokeza kuwa anaazimia kushirki mbio za jumuia ya madola nchini australia. Robinson Okenye na taarifa zaidi.