12th January, 2018
Kicheko cha naibu rais William Ruto: MirindimoKatika makala ya Mirindimo hii leo tunaangazia densi ya mwanahabari Frank Otieno, kicheko kisichokuwa cha kawaida cha naibu rais William Ruto na kuelewa badhi ya kauli za Wagiryma kutoka Kilifi. Si hayo suala la Raila Odinga kuapishwa lingalipo. Paul Nabiswa ametusukia vituko vya wiki