Wakilishi wa wodi Makueni wawacha huru baada ya kutiwa nguvuni katika shule ya upili ya St Joseph's

Dira ya Wiki | Friday 12 Jan 2018 7:45 pm

Wawakilishi wa wadi watano waliofikishwa katika mahakama ya Makueni baada ya kutiwa  nguvuni  na polisi hapo jana kwa kumzuia mwalimu mkuu mpya wa shule ya upili ya St. Joseph   wameachiliwa  kwa dhamana watano hao walitiwa nguvuni katika shule ya upili ya wasichana ya St. Joseph kibwezi kwa  kumkataza mwalimu mkuu mpya rose kiragu  kuanza  kazi . Watano hao ni Nicholas Maitha , wa wadi ya Thange, Jades Kalunda  wa Kikumbulyu south, Mirriam Musyoka na Janet Ngina. Kesi hiyo  itatajwa  tarehe kumi na tano mwezi ujao .