×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Taasisi ya mafunzo ya utawala yafanyika baada ya waziri wa Usalama Fred Matiang'i kutoa amri

12th January, 2018

Waziri wa usalama na kaimu waziri wa elimu fred matiangi ametangaza kuwa hatajadiliana kuhusu suala la uhamisho wa waalimu wakuu. Matiangi ameongeza pia kwamba wanafunzi wa shule za upili wasioishi kwenye mabweni hawapaswi kudaiwa karo. Alizungumza kwenye warsha iliyojumuisha maafisa wa utawala na wale wa wizara ya elimu.

 

.
RELATED VIDEOS