×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naibu gavana wa kaunti ya Nairobi Polycarp Igathe ajiuzulu

12th January, 2018

Wake na kusema kuwa gavana mike sonko hajawa na imani

        naye. Igathe amemwandikia barua gavana Sonko

        na kuwatakia heri wakazi wa Nairobi. Igathe anajiuzulu kabla

        hajafikisha miezi sita. Sonko alichaguliwa na igathe katika

        tiketi ya chama cha Jubilee baada ya kumshinda aliyekuwa

        gavana evans kidero. Igathe anaondoka afisini siku chache

        tu baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi ya kupinga

        ushindi wa mike Sonko katika uchaguzi wa agosti nane mwaka

        uliopita. Haijulikani sababu haswa za Igathe kujiuzulu lakini

        duru zinaarifu kuwa hawakuwa wakipatana kikazi na sonko.

.
RELATED VIDEOS