×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu kadhaa wafariki katika ajali ya barabarani katika kaunti ya Taita Taveta

8th January, 2018

Watu waliofariki katika ajali ya barabarani baada ya basi walimokuwa wakisafiria kubingiroia mara kadhaa katika eneo la mwatate kaunti ya Taita Taveta lilipokosa mwelekeo abiria 26 waliojeruhiwa wanendelea kupata matibabu katika hospitali ya rufaa ya moi . Wengine kumi waliopata majeraha madogo walitibia katika hospitali za wundanyi na mwatate  na kuruhusiwa kwenda nyumbani . Basi hilo lilikuwa limewabeba wafanyikazi wa halmashauri ya bandari nchini ambao walikuwa wakienda kuhudhuria mazishi ya mmoja wao.

.
RELATED VIDEOS