×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Embu na Kirinyaga wataka hatua kuchukliwa kwa daraja hatari katika barabara kuu ya Embu

5th January, 2018

Wakazi wa kaunti za Embu na Kirinyagha sasa wameelezea hofu yao kuhusiana na kivukio cha rupingazi wanachosema ni hatari inawakodolea macho baada ya kusababisha vifo vya watu wengi wanaotumbukia kwenye mto.kwa mujibu wa wakazi hao kivukio hicho kilichoko kwenye barabara kuu ya embu-nairobi hakina vyuma vya reli vya kuzuiya  wananchi na magari dhidi ya kuingia kwenye mto.inadaiwa kwamba zaidi ya ajali kumi na tano zimeshuhudiwa katika eneo hilo kwenye kipindi cha mwaka mmoja

.
RELATED VIDEOS