5th January, 2018
Marufuku ya usafiri wa usiku imeendelea kuwatatiza wasafiri huku baadhi yao wakilazimika kugharamika zaidi wakitafuta mahali pa kujisitiria kutokana na kijibaridi kikali cha usiku. Wasafiri wengi walilazimika kulala kwenye mahoteli na haswa wale waliokuwa tayari wameagiza tiketi za usafiri, huku wakionyesha kughadhabishwa n