×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya South B yalaza timu ya Beirut kutoka Ziwani kwa nusu fainali ya dimba la Koth Biro

29th December, 2017

Timu ya South B ilitoka nyuma na kuwalaza Beirut mabao matatu kwa mawili ili kujikatia tiketi ya fainali ya mashindano ya Koth Biro kwenye mechi iliyochezwa uwanjani Ziwani. Wakati ambapo mechi ilionekana kuisha sare ya mabao mawili kwa mawili, abraham dawo alifunga bao la ushindi kwa South B kunako dakika ya 92. Timu hiyo inasubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya fifa best na team gaa huruma itakayochezwa hapo kesho. Fainali ya mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka itakuwa tarehe 7 mwezi Januari

.
RELATED VIDEOS