29th December, 2017
Familia ya marehemu joseph ng’ethe kiarie aliyedaiwa kuuawa na manamba wa matatu ya marimba sacco siku sita zilizopita, imelalama kuwa hadi sasa hakuna hatua zozote ambazo zimechukuliwa dhidi ya washukiwa, licha ya polisi kuwa na ufahamu kuwahusu.