29th December, 2017
Usimamizi mpya uliotwaa umiliki wa hospitali ya St Mary’s, Langáta umesisitiza kuwa huduma zimerejea katika hali yake ya kawaida huku wafanyikazi wakisisitiza kuwa walitimuliwa na viongozi wa chama cha wahudumu wa afya na wanmafamasia na wataalamu wa meno (KMPDU) wakisuta hali hiyo