×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyabiashara ya shisha kumi na tano wafika mbele ya jaji John Mativo: Dira ya Wiki

29th December, 2017

Wafanya biashara wa shisha wamepata afueni japo ya siku chache baada ya mahakama ya Milimani kuagiza kusikizwa kwa kesi yao kupinga marufuku ya shisha iliyotolewa na wizara ya afya hapo jana. Wafanya biashara hao kwenye ombi kwa mahakama wamedai sheria hiyo ina ubaguzi, hitilafu na ilipitishwa bila kuhusisha washikadau wote.

.
RELATED VIDEOS