×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Fifa Best yajikatia tiketi ya tatu ya nusu fainali ya dimba la Koth Biro

28th December, 2017

Fifa Best ndiyo timu ya tatu kujikatia tiketi ya nusu fainali ya dimba la Koth Biro baada ya kuwalaza Kingstone mabao mawili kwa moja kwenye mechi ya robo fainali iliyochezwa leo uwanjani ziwani eneo la Pumwani.  Musa Masika aliwapa bao la ufunguzi katika dakika ya 25 kabla ya Iregi Benson kuwafungia la pili kukiwa kumesalia dakika kumi pekee. Eugine Oduor aliwasawazishia kingstone bao moja kupitia mkwaju wa penalti lakini wakashindwa kupata la pili, Fifa wataungana na South B na Beirut katika nne bora. 

.
RELATED VIDEOS