28th December, 2017
Afisa mmoja wa polisi katika kituo cha polisi cha Makueni aliyemuuwa naibu wa OCS wa kituo hicho kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi maafisa wengine wawili wa polisi amekamatwa. Kama anavyoarifu Mary Kilobi kufikia sasa kiini cha mauaji hayo hakijabainika.