×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Timu ya Kenya ya EAC yashinda mechi yao kwa mchuano wa mpira wa voliboli, 6/12/16

6th December, 2016

Baada ya kulazwa kwenye mechi yao ya kwanza katika mashindano ya wabunge ya Afrika ya mashariki dhidi  ya Uganda, hii leo timu ya Kenya ya mpira wa voliboli ilipata ushindi wa seti mbili kwa sufuri dhidi ya Uganda . Kenya ilianza mechi hiyo kwa vishindo na kupata ushindi wa seti hiyo kwa kuandikisha alama 25-14. Mashambulizi ya Kenya yalizidi kunoga katika seti ya pili na timu hiyo ikapata ushindi wa alama 25-7. Mashambulizi ya Kenya yaliongozwa na mbunge wa teso kaskazini Arthur Odera naye Isaac Sang. Hapo kesho Kenya itajitosa uwanjani dhidi ya Tanzania katika mpira wa kandanda.

.
RELATED VIDEOS