×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Bingwa wa Olimpiki Wilson Kipsang' ajitosa katika ulingo wa siasa kama mbunge wa Keiyo

23rd November, 2016

Mwanariadha na bingwa wa olimpiki Wilson Kipsang sasa ametangaza rasmi kujitosa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika eneo la Keiyo kusini, Kipsang amedai kwamba ana maazimio ya kubadili riadha humu nchini haswa baada ya uongozi mbaya kutia kitanzi kamati ya olimpiki nchini huku madai ya ufisadi yakiwaandama.

.
RELATED VIDEOS