×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Sportpesa ndiye wadhamini wapywa wa Shirikisho ya KRU kwa kandarasi ya miaka mitano

22nd November, 2016

Kufuatia kukamilika kwa kandarasi ya udhamini baina ya shirikisho la raga nchini na wadhamini wao ambao ni shirika la ndege nchini KQ, Sportpesa wamechukua usukani na sasa ndio wadhamini wapya wa  timu ya raga ya wachezaji saba kila upande. Udhamini huo mpya wa miaka mitano utagharimu taktribani shilingi milioni laki sita na saba na unanuiwa kuisaidia timu ya raga ya wachezaji saba kila upande kutekeleza shughuli zao kikamilifu.  Vilevile udhamini huo utagawanywa kwa timu ya raga wa kina dada ya wachezaji saba kila upande na ile ya wachezaji 15 kila upande.wakati huo huo kocha wa timu ya wachezaji 7 kilaupande Innocent Simiyu ameelezeakukamilika kwa matayarisho yao ya kuelekea katika mashindano ya Dubai sevens.

.
RELATED VIDEOS