KTN Leo: Evans Biwott na Bornes Jepkurui ndio washindi wa makala ya kumi ya mbio za Kass
20th November, 2016
Evans Biwott na Bornes Jepkurui ndio washindi wa makala ya 10 ya mbio za Kass zilizoandaliwa leo mjini Eldoret. Wawili hao walitia kibindoni shilingi milioni moja u nusu kila mmoja.