×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Paul Were alifungia Harambee Stars bao lao la kipekee dhidi ya Liberia-Lone Stars, 15/11/16

15th November, 2016

Stanley Okumbi ameendeleza safu yake ya kutopoteza mechi akiwa mkufunzi wa Harambee stars kufika nane; hii ikiwa ni baada ya kuhakikisha kuwa, kenye imetwaa ushindi wa 1-0 dhidi ya Liberia katika mechi ya kirafiki. Kenya ilitawala mechi hiyo lakini bao la kipekee likawa ni lake Paul Were katika dakika ya hamsini na mbili kwenye mechi hiyo.

.
RELATED VIDEOS