×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Sportpesa Quins waongoza katika michuwano wa Kenya Cup katika mashindano ya raga, 15/11/16

15th November, 2016

Baada ya michuano ya wiki iliyopita kuadhimisha wiki ya pili katika ligi kuu ya raga nchini almaarufu kama Kenya cup, Sportpesa Quins wanaongoza jedwali baada ya kuwalaza Strathmore mahasimu wao wa jadi 39-22. KCB walimakinika na kutwaa ushindi muhimu wa 27-24 wakiwa ugenini dhidi ya mwamba katika mechi iliyojawa na vuta ni kuvute. Hata hivyo mwamba wanasalia katika nafasi ya pili huku impala ikishikilia nafasi ya 3 baada ya kulaza vijana wa blak blad 33-18. Top fry Nakuru wanamaliza nafasi ya nne kati ya timu zinazaoongoza na wikendi iliyopita walilaza Mean Machine 41-7. Kwenye mechi za wikendi hii, Quins wataalika Homeboyz, Kabras kibarua chao kiwe ni dhidi ya Mwamba, Impala wachuane na Strathmore huku KCB wakiwa na matumaini yakulaza vigogo wa top fry Nakuru

.
RELATED VIDEOS