Dira ya Wiki: Mzee wa umri wa miaka 74 auwawa na nyuki Kakamega
4th November, 2016
Wakazi wa kijiji cha Eshisiru kaunti ya Kakamega wanajadili namna ya kutakasa kijiji chao baada ya kifo cha mzee wa umri wa miaka 74. Basil misango alifariki baada ya kushambuliwa na nyuki