×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Wakfu wa Lotto ndio watahiniwa wapya wa mashindano wa riadha ya Baringo, 1/11/16

1st November, 2016

Wakfu wa lotto ndio wafadhili wakuu wa mashindano ya riadha ya Baringo yatakayoandaliwa jumamosi ya tarehe 5 mwezi huu wa Novemba. Waandalizi wanahisi kwamba ndiposa michezo mbali mbali itie fora, lazima washika dau watilie maanani talanta chipuka mashinani. Mashindano haya yanafaahamika sana kwa kumzindua bingwa wa London katika riadha Mary Keitany, kama ada mashindano haya yanatarajiwa kuleta pamoja wanariadha walio na uzoefu na wale ambao wanawania kuwarithi vigogo hao. Riadha hizo za Baringo zilizinduliwa hii leo.

.
RELATED VIDEOS