30th October, 2016
Jelagat Seurey na Robert Kipkemboi ndio washindi wa makala ya kumi na nne ya mbio za Standard Chattered zilizoandaliwa hii leo mjini Nairobi. Wawili hao walitunukiwa shilingi milioni moja u nusu kila mmoja. Robinson Okenye na taarifa hiyo kwa kina.