KTNLeo Wikendi: Mbio za Family Bank yaliandaliwa mjini Eldoret, Peres Jepchirchir ashinda upande wa
9th October, 2016
Mashindano ya mbio za Family Bank yaliandaliwa hii leo mjini Eldoret yakiadhimisha miaka kumi tangu kuanzishswa kwake. Peres Jepchirchir akitetea taji lake upande wa wanawake