×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Bingwa wa Olimpiki Consenslus Kipruto atashindana mbio za Ndalat Gaa - Nandi, 5/10/16

5th October, 2016

Bingwa wa olimpiki katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji Conceslus Kipruto ni miongoni mwa watakaoshiriki mbio za nyika za Ndalat Gaa mwaka huu. Zitakazoandaliwa tarehe 15 mwezi huu katika kaunti ya Nandi. Zaidi ya watu 5000 wanatarajiwa kushiriki makala hayo ya nane. Mbio hizo zimesaidia kukuza vipaji vya riadha tangu mwaka 2008 na wafadhili wana imani kuwa mwaka huu haitakuwa tofauti. Kutakuwa na vitengo vinane tofauti huku mshindi wa kitengo cha wazoefu akitia kibindoni shilingi 40000. Watakaomaliza katika nafasi ya pili hadi ishirini pia watatunukiwa. 

.
RELATED VIDEOS