×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Mkondo wa mbio za magari waandaliwa huko Eldoret, 4/10/2016

4th October, 2016

Dereva wa mashindano ya magari nchini Farhaaz Khan anatarajia kufanya vyema katika mkondo wa Eldoret ambao utawajumuisha zaidi ya madereva 30. Dereva huyo pia anaazimia kupunguza pengo kati yake na kiongozi wa daraja la chini la mashindano hayo  Onka Rai . Mashindnao hayo yatandaliwa tarehe 8 mwezi Oktoba.

.
RELATED VIDEOS