×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Uganda yashinda michezo ya Afrika 7's, Septemba 24 2016

24th September, 2016

Uganda ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya raga ya wachezaji saba ya Afrika. Uganda ililaza namibia kwenye fainali za kwa alama 38-19. Kenya ilimaliza ya tatu baada ya kulaza Madagascar. Mashindano ya Safari Sevens vilevile yalianza hii leo huuku Kenya ikishinda michuano yake. 

.
RELATED VIDEOS