×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Kikosi cha Raga yajianda kwa michuano wa Safari 7's, 22/09/16

22nd September, 2016

Baada ya kutowajibika katika makala ya olimpiki mwaka huu, kikosi cha raga cha Kenya kinarejea uwanjani nia kuu ikiwa ni mwanzo wa kujitakasa. Timu mbili za Kenya ya kwanza ikiwa ni Morans pamoja na Shujaa watajaribu kutamba katika taji la Safari 7’s na ubingwa wa afrika mtawalia wikendi hii. Na kama Moses Wakhisi anavyotuarifu, mkufunzi mkuu Benjamin Ayimba na msaidizi wake Paul Murunga wana matumaini ya kuandikisha matokeo mema.

.
RELATED VIDEOS