×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikosi cha Shujaa itawakilisha Kenya katika mchuano wa Safari 7's, KTN Leo Septemba 21 2016

21st September, 2016

Kenya itawakilishswa na timu tofauti kwenye mashindano ya raga ya bara Afrika na mashindano ya raga ya Safari 7’s, timu ya Kenya itashiriki mashindano ya bara Afrika, Shujaa iko kwenye kundi A pamoja na Senegal na Nigeria. Timu ya Kenya Shujaa itashiriki mashindano ya Safari 7’s ambayo ni makala ya 21 ikiwa imeorodheswa kwenye kundi a pamoja na Portugal, Cape Warriors na vile vile Rwanda

.
RELATED VIDEOS