×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikosi cha Harambee Starlets wamaliza wa pili dimba la CECAFA, KTN Leo Septemba 21 2016

21st September, 2016

Baada ya kungaa katika dimba la CECAFA na kumaliza katika nafasi ya pili baada ya kulazwa katika fainali 2-1 dhidi ya tanzani; kikosi cha kandanda cha kinadada wa Kenya almaarufu kama Harambee Starlets kimerejea nyumbani na kulakiwa kishujaa. Baada ya kulakiwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, akinadada hao pamoja na kitengo chao cha kiufundi walifululiza hadi mkahawa mmoja hapa jijini Nairobi na kuandaliwa chakula cha mchana. Starlets walistadika nchini Uganda na sasa kibarua chao ni kujiandaa ipasavyo kwa taji la kuwania ubingwa wa Afrika utakao andaliwa mwezi wa 11 kule 

.
RELATED VIDEOS