×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kikosi cha Raga lionesses yatajwa kushiriki mashindano ya Afrika

14th September, 2016

Baada ya kutoshiriki katika mashindano ya olimpiki mwaka 2016, wachezaji Sinaida Aura wa mwamba Cynthia Camilla na wanarejea katika kikosi cha Kenya kinacho tarajiwa kuwakilisha Kenya katika taji la Afrika. Wachezaji wapya waliosajiliwa ni timu ya Homeboyz ikiwemo Janet Otieno, Rachel Mbogo, Sheila Chajira pamoja na wachezaji wa Mwamba nahodha wa zamani Doreen Remour na Celestine Masinde. Kate Abilla anasalia kuwa nahodha wa timu huku Philadelphia Olando wa KCB akiwa msaidizi wake. Lionesses wako katika kundi B pamoja na Uganda, Tunisia na Madagascar huku afrika kusini mabingwa wa 2015 wakiwa kundi sawa na   Zimbabwe, Senegal na Namibia.

.
RELATED VIDEOS