×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ajali ya ndege yafanyika Ngong

12th September, 2016

Siku nne tu baada ya ndege mbili kuanguka Nairobi na Naivasha, mapema leo ndege nyengine imeanguka katika msitu wa Kibiku eneo la Ngong.  Ndege hiyo ilikuwa ya kufanyia mazoezi   ya urubani ikiwa na mkufunzi na mwanafunzi wake. Ajali hiyo ilimwacha mkufunzi huyo na mwanafunzi wake na majeraha madogo.  Wawili hao walikimbizwa hospitalini kwa matibabu. Ndege hiyo iliyokuwa ikitoka uwanja wa ndege ya Wilson kwa ajili ya mafunzo inasemekana kuwa na hitilafu za mtambo kwenye  injini. kulingana na OCPD wa Kajiado kusini George Seda mabaki ya ndege hiyo yatasalia hapo hadi uchunguzi utakapokamilika

.
RELATED VIDEOS