Kenya huenda ikapata medali ya kwanza kupitia Vivian Cheruiyot
11th August, 2016
Kenya huenda ikatwaa medali yake ya kwanza katika mashindano yanayoendelea ya olimpiki jijini Rio de Janeiro nchini Brazil hapo kesho. Vivian Cheruiyot ataongozwa wanariadha Wakenya katika fainali ya mbio za mita elfu kumi.