×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Vivian Cheruiyot na Asbel Kiprop waepuka washindi kwa mbio huko Eldoret

1st July, 2016

Siku moja baada ya kujikatia tiketi ya mashindano ya olimpiki katika mbio za mita 10000, mshindi wa nishani ya fedha katika mbio za dunia Vivian Cheruiyot pia amefuzu katika mbio za mita 5000. Wengine waliofuzu ni Hellen Obiri na Mercy Cherono. Asbel Kiprop naye alichukua ushindi kwenye mbio za mita 1500.
.
RELATED VIDEOS