FKF yazindua mkurugenzi mpya huku wakipiga sahihi mawasiliano wa kuhifadhiwa na Sportpesa
30th June, 2016
Shirikisho la kandanda nchini FKF limezindua ufadhili wa miaka mitano na kampuni ya Sportpesa utakaosaidia katika kampeni ya kukuza soka kutoka mshinani.
Shirikisho hilo pia limezindua mkurugenzi wa kiufundi.
Abdulla Ahmed na taarifa kamili.