×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya Kenya ya wanariadha katika mashindano ya bara Afrika wafanya mazoezi

15th June, 2016

Wanariadha wa mbio fupi ambao watawakilisha Kenya katika mashindano ya bara Afrika jijini Durban Afrika Kusini wanaendelea na mazoezi katika uwanja wa kasarani kabla kuondoka nchini siku ya jumatatu. Mashindano hayo yatafanyika kati ya tarehe 22 na 26 mwezi huu.
.
RELATED VIDEOS