Maandalizi ya mashindano ya dunia kwa wanariadha wasiozidi umri wa miaka 18
13th June, 2016
Jiji la Nairobi litakuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia kwa wanariadha wasiozidi umri wa miaka 18. Hata hivyo maandalizi bado yanafanyika kwa mwendo wa kinyonga...