×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mchezaji Namai aliyekuwa hodari wa kandanda auza makaa kujikimu maishani

9th June, 2016

Je ni yapi haswa yanayopaswa kutekelezwa ili kuhakikisha kwamba vipaji michezoni havipotei bali vinapaliliwa kwa kiasi kikubwa. Elvis Kosgei anaarifu kisa cha Patrick Namai aliyefanya vyema katika timu ya taifa miaka ya 90’ na 80 lakini leo anauza makaa katika eneo la Langas kaunti ya Uasin Gishu.
.
RELATED VIDEOS