Wafanyabiashara Kikopey walalamikia kufungwa kwa shughuli za kuuza nyama choma eneo hilo
9th January, 2016
Wafanyabiashara katika eneo la Kikopey kwenye barabara ya Nairobi- Nakuru wamelalamikia hatua ya serikali ya kaunti ya Nakuru kwa kufunga shughuli za kuuza nyama ya kuchoma katika eneo hilo.