ELIMU NA TAALUMA(16 Novemba 2015):Masomo ya watoto yakatizwa na ajira

Elimu na Taaluma | Monday 16 Nov 2015 11:05 pm
Je unajua elimu ya watoto wakati mwingine huathirika na mambo wanayoshughulika nayo yasiyombatana na masomo kama vile kutafuta riziki? Mwanahabari Paul Nabiswa aligundua kuwa huko Pokot magharibi baadhi ya watoto hujihusisha kutafuta dhahabu na shughuli nyengineno na kususia masomo.