Ufisadi umekita mzizi katika FIFA
28th May, 2015
Mashtaka 47 tofauti ya shutma za ufisadi ianazidi kuwatia viongozi kadhaa wa fifa tumbo joto baada yao kushikwa. Viongozi kumi na nne wa fifa wanatarajiwa kujibu kesi ya ufisadi kwa kipindi cha miaka 24, huku wengi wakiwa na hamu kuona ni vipi uchaguzi wa fifa utakavyoandaliwa siku ya ijumaa.