Waogeleaji kumi na tatu kutoka Kenya wanatarajiwa kufanya vyiema
10th July, 2014
Hamdan Bayusuf, mmoja wa waogoleaji 13 ambao watawakilisha kenya katika mashindano ya jumuia ya madola ametabiri kuwa kenya itafanya vyema katika mashindano ya glasgow, scotland. Jason Dunford pia yuko kwenye kikosi cha taifa ilhali Emily Muteti ataongoza upande wa kina dada.