Jicho Pevu: Dugudwa la Uchaguzi, Makala ya pili

Jicho Pevu | Monday 21 Apr 2014 12:00 am
Katika sehemu ya pili na ya mwisho ya dugudwa la uchaguzi mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali anaangazia dosari za fomu 34 na 36 kando na madai mapya yakuwepo kwa rejista tano pamoja na rejista nyengine iliyofanyiwa ukarabati na jamaa mmoja wa ujasusi. Wanasema waswahili mambo mazuri hayataki haraka kwa hivyo jitulize makala ya jicho pevu yanaanza baada ya matangazo haya.