News : Bei ya mafuta yashuka
14th January, 2013
Tume ya kudhibiti kawi nchini ERC imetangaza bei mpya ya mafuta hii leo. Kulingana na ripoti iliyotolewa kwa vyombo vya habari na ERC bei ya diseli imeshuka kwa shilingi 1.na senti 80, mafuta taa yameshuka kwa shilingi 2.58 kwa lita moja, nayo mafuta ya petroli yameshuka kwa shilingi 1.01